Premise ni app ya simu inayo wazawadia Wachangiaji wake kwa kushiriki maoni yao juu ya maeneo wanayoishi au jamii zao. Ukiwa kama Mchangiaji, utahitajika ukamilishe kazi zinazoweza kuhusisha kujibu tafiti ukiwa nyumbani mwako hadi kazi zitakazo kuhitaji utoke nje na kupiga picha rasilimali na hali ya eneo lako. Taarifa unazotupatia husaidia mashirika yanayojikita na kuboresha hali za maisha ndani ya maeneo yanayohitaji msaada huu zaidi. Hivyo, unatengeneza pesa ukiwa unasaidia kupelekea mabadiliko chanya ndani ya eneo linalokuzunguka!
Comments
0 comments
Article is closed for comments.